dashboard FOMU YA MAONI KWA MTEJA Please enable JavaScript in your browser to complete this form.Please enable JavaScript in your browser to complete this form.Tarehe ya Leo *1. Je ni mara ya ngapi kupata huduma katika Tasisisi yetu? *Mara ya kwanzaZaidi ya mara moja2 a). Ni kwa kiasi gani Umeridhishwa na huduma zetu? *VizuriWastaniSijaridhikab). Kama jibu lako ni Hujaridhika na huduma zetu, Tueleze kwanini na eneo/idara gani hujaridhishwa na huduma zake.c) Kama jibu lako ni Vizuri , Tafadhali tueleze maeneo ya huduma ambayo umeridhishwa na huduma zake3. a) Unaonaje hali ya usafi wa mazingira ya Taasisi? *MasafiMachafub). Kama jibu ni Machafu, Tafadhali tutajie maeneo hayo machafu katika Taasisi4 a). Katika sehemu ulizohudumiwa, unaonaje kauli za Watoa huduma wetu? *NzuriMbayab). Kama jibu ni Mbaya ni kauli gani iliyokukwaza na eneo gani la kutolea huduma walikujibu kwa kauli mbaya.5 a). Uliwahi kuombwa au kutoa Rushwa katika eneo lolote hapa Ocean Road ? *NdioHapana b). Kama jibu ni NDIYO, Ni idara au sehemu gani uliyoombwa au kutoa Rushwa ili upatiwe huduma *6. Ulisubiri kwa muda gani kabla ya kuhudumiwa na Mtaalamu wa huduma za Afya wa eneo husika ? *Dakika 0 hadi 30Dakika 30 hadi 60Zaidi ya Saa 17. Tafadhali tueleze changamoto au malalamiko uliyonayo juu ya huduma zetu zetu , Maoni 8.Tafadhali tuandikie Maoni yako au Ushauri au Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuboresha huduma zetu TUMA MAONI YAKO Rudi Nyuma