
Wafanyakazi wa benki ya NMB wachangia damu ORCI
Wafanyakazi 200 wa benki ya NMB wametekeleza kwa vitendo sera ya kushirikiana na kuhudumia Jamii (CSR), kwa kuchangia damu tarehe 19/10/2019 kwa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road yenye ujazo… Read more »