Category: News&Event
Kambi ya uchunguzi wa saratani ya kizazi yaanza mkoani Tanga, Wanawake 1000 kuchunguzwa

Kambi maalum ya kampeni ya uchunguzi na matibabu dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa Mkoa wa Tanga, imeanza rasmi leo Januari 28, 2021 ikitarajiwa kukamilika Januari 30, 2021,… Read more »

Waziri Gwajima apongeza uboreshwaji wa huduma na upatikanaji wa dawa za saratani akiwa ziarani ORCI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Dkt. Dorothy Gwajima akiwa ziara ya kikazi katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), amepongeza jitihada kubwa za uboreshwaji… Read more »

Maelfu wafika ofisi za Efm & TV E kuchunguzwa saratani ya matiti
Mwamko wa wananchi kujitokeza kufanyiwa uchunguzi wa awali wa saratani ya matiti unazidi kuongezeka kwenye jamii hadi kwa kundi la wanaume. Leo katika Ofisi za Efm na TV E zaidi… Read more »
Wanachuo zaidi ya 200 Veta (ICT – Kipawa) wafikishiwa elimu saratani ya matiti
Wanachuo zaidi ya 200 wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta (ICT- Kipawa wamepewa elimu sahihi kuhusu saratani ya matiti, jinsi ya kujikinga, uchunguzi na matibabu. Elimu hiyo imetolewa leo na… Read more »
Tiba ya mionzi dhidi ya saratani si tanuru la moto
Tiba ya mionzi inayotolewa na wataalamu wa magonjwa ya saratani si tanuru la moto kama ambavyo baadhi ya watu kwenye jamii wamekuwa wakidhani na kusambaza taarifa hizo zisizo sahihi. Daktari… Read more »

Jamii yaaswa kutoshiriki kukatiza matibabu kwa wagonjwa wa saratani.
Jamii imeaswa kuacha kuwakatizia matibabu wagonjwa wa saratani kwa lengo la kuwapeleka kwenye maombi, tiba za asili na waganga wa jadi kwani wanaweza kuwasababishia madhara makubwa zaidi ikiwemo kifo. Hayo… Read more »

Mwezi wa Uelimishaji wa Saratani ya Matiti Duniani
Mwezi wa Uhamasishaji wa Saratani ya Matiti, unaadhimishwa kote ulimwenguni ifikapo kila Oktoba, maadhimisho hayo hulenga kusaidia kuongeza umakini na msaada wa elimu kwa wanawake, ugunduzi wa mapema na pia… Read more »
Parokia ya Kibamba waishukuru ORCI kuwapelekea huduma uchunguzi wa Saratani
Waamini wa Kanisa Katoliki Mtakatifu Vincent wa Paulo, Parokia ya Kibamba, wamewashukuru wataalamu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), kwa kuwapeleka huduma ya uchunguzi wa afya bila malipo. Kanisa… Read more »