Kikao cha pili cha Baraza la Tano la Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road. Ukumbi wa Edema, Morogoro 04/06/2021
Wajumbe wa Baraza la tano la wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road walikutana na kufanya mkutano wa pili wa mwaka 2020/2021 katika ukumbi wa mkutano wa Edema mkoani Morogoro… Read more »