Glioblastoma ni miongoni mwa aina za Saratani zinazoushambulia ubongo wa mgonjwa. National Glioblastoma awareness day huadhimishwa kila mwaka duniani tarehe 22/07/2020. Katika maadhimisho ya siku hiyo Dr Mark Mseti alitoa mada katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere Conference uliopo katika Taasisi ya Saratani Ocean Road kuhusu Glioblastoma.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road wakimsikiliza Mtoa Mada (Dr Mseti) katika maadhimisho ya siku ya Glioblastoma duniani
Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road wakimsikiliza Mtoa Mada (Dr Mseti) katika maadhimisho ya siku ya Glioblastoma duniani
Wafanyakazi na wanafunzi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road wakimsikiliza Mtoa Mada (Dr Mseti) katika maadhimisho ya siku ya Glioblastoma duniani
Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road wakimsikiliza Mtoa Mada (Dr Mseti) katika maadhimisho ya siku ya Glioblastoma duniani
Wanafunzi na washiriki wengine wakimsikiliza Mtoa Mada (Dr Mseti) katika maadhimisho ya siku ya Glioblastoma duniani
Glioblastoma ndio aina ya saratani ya ubongo inayosumbua zaidi duniani. Ugonjwa huo ndio ulioondoa maisha ya mwanasiasa maarufu marekani Hayati Sen. John McCainn. Elimu hii imedhaminiwa na Hetero Biopharma watengenezaji was dawa mbalimbali za saratani.
Mtoa maada akipokea tuzo kutoka kwa Mfamasia Mkuu wa Taasisi huku akishuhudiwa na Bw Jawan kutoka Hetero Biopharma.