UWASILISHAJI WA RIPOTI YA QIT NA UGAWAJI WA ZAWADI KWA WASHINDI

      Comments Off on UWASILISHAJI WA RIPOTI YA QIT NA UGAWAJI WA ZAWADI KWA WASHINDI

Siku ya Ijumaa tarehe 14/08/2020 kupitiakwenyekipindi cha elimuendelevu ya matibabu (CME), ndugu Hemed Myanza, mjumbe wa timu ya kuboresha huduma ya Taasisi ya Saratani Ocean Road, aliwasilisharipoti ya utekelezaji wa majukumu ya kamati ya kuboresha huduma (QIT) kwa mwaka 2019.

Muwasilishaji wa madandugu Hemed Myanza

Ripotihiyoiliangaziahalihalisi ya ORCI kabla ya kuanza utekelezaji wa nadharia ya 5S KAIZEN TQM na baada ya kuanza utekelezaji, changamoto, mafanikio, mapendekezo na uchanganuzi wa uboreshwaji wa huduma ndani ya kipindihicho.

MkurugenziMtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (katikati), akiwa na Mwenyekiti  wa QIT Albina Kirango (Kushoto) na Katibu wa QIT Mohamed Mbwana (Kulia)

Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, wakisikilizaripoti ya utekelezaji wa majukumu ya QIT kwa mwaka 2019

Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, wakisikilizaripoti ya utekelezaji wa majukumu ya QIT kwa mwaka 2019

Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, wakisikilizaripoti ya utekelezaji wa majukumu ya QIT kwa mwaka 2019

Wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, wakisikilizaripoti ya utekelezaji wa majukumu ya QIT kwa mwaka 2019

Baada ya wasilisho la ripoti, Zawadi zilikabidhiwa kwa vitengovilivyofanyavizurikatikautekelezaji wa uboreshaji wa huduma kupitianadharia ya 5S KAIZEN TQM, ambapowashindiwalikuwakamaifuatavyo:

Mshindi wa kwanza: Kitengo cha Famasia – OCP

Mkurugenzimtendajiakiwakatikapicha ya pamoja na washindi kutoka Famasia OCP

Mshindi wa Kwanza: Kitengo cha Maabara – General

Watumishi wa maabara – general wakinyanyuajuukikombe cha ushindi

Mshindi wa Pili: Kitengo cha Famasia – General

Washindi kutoka Famasia general, wakikabidhiwacheti cha ushindi na mkurugenziMtendaji

Mshindi wa tatu: Kitengo cha Maabara – Bima

Washindi kutoka maabarabima, wakiwakatikapicha ya pamoja na MkurugenziMtendaji

Washindiwalikabidhiwa Zawadi ya vikombe, ambavyovilitolewa na Mkurugenzimtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, ndugu Julius Mwaiselage. Mkurugenzialiwapongezawashindi na kuwahimizawatumishi wote katikavitengovilivyoshiriki, kuhakikishakuwa, wakatiujaonaowanafanyavyema zaidi. Kwanidhima ta kuboresha huduma ni sualamtambuka na linalopaswakutekelezwavyemasehemu zote za kutolea huduma. Mkurugenzialiwapongezawanatimu wa QIT na kuwataka kuendeleza na utekelezaji wa majukumu yao, ikiwamo na kuongeza kufanya tafitijuu ya hali ya kuridhika kwa huduma kwa wateja wa Taasisi