Mapema Leo Rais wa umoja wa visiwa vya Comoro Bw. Azali Assoumani ametembelea kambi maalum ya madaktari bingwa iliyofika katika mji wa Anjouan na kuzungumza na madaktari hao. Akizungumza marabaada… Read more »
Timu ya madaktari bingwa na ubingwa bobezi kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road inatarajia kuelekea Comoro kwaajili ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt…. Read more »
Ambapo katika kurahisisha shughuli hiyo wamekutana na wadau wa sekta binafsi kutoka Global Medicare kujadili namna ya kushirikiana katika kuitikia wito wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika… Read more »
“Wauguzi wanatakiwa kuiga falsafa za Florence Nightingale” hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt. Diwani Msemo katika maadhimisho ya siku ya wauguzi ngazi ya tawi… Read more »
Na WAF – Songea, Ruvuma Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa… Read more »
Waziri wa afya Mhe. Jenista Mhagama ametembelea katika Taasisi ya Saratani Ocean Road kuona utoaji huduma za tiba mionzi zinavyoendelea katika Taasisi kwa wagonjwa wa saratani. Mh. Mhagama amejionea kukamilika… Read more »
Naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua mpango kazi wa Taifa wa haki na ustawi wa watu wenye Ualbino (MTHUWWU) na mkakati wa… Read more »
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Dkt. Julius Mwaiselage leo amekutana na madaktari kutoka nchini India wa “Tata memorial Hospital” Dkt. Mwaiselage amewaelezea namna Taasisi ya Saratani Ocean Road… Read more »
Waziri wa afya Mh. Jenista Mhagama leo ametembele katika Taasisi ya Saratani Ocean Road kuona huduma za Tiba mionzi zinavyoendelea katika Taasisi hiyo. Mh. Mhagama amejionea mashine za Linac na… Read more »
“Tiba shufaa kuingizwa katika mtaala wa mafunzo ya afya nchini”, hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za utengemao, Tiba shufaa na wazee kutoka wizara ya afya Dkt. Mwinyikondo… Read more »