Wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya, jumuiya ya wazazi wa chama Cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala ikiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Mhe. Joseph. W. Butiku… Read more »
Taasisi ya Saratani Ocean Road leo katika kilele Cha maazimisho ya siku ya Mwanamke Duniani imepokea misaada mbalimbali kutoka kwa wanawake wa Taasisi na idara tofauti tofauti hapa nchini Tanzania… Read more »
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. Julius Mwaiselage, amewataka wanawake katika Taasisi hiyo kufanya kazi kwa bidii na kufuata misingi ili kuweza kupata mafanikio zaidi kwenye maisha… Read more »
Kitengo Cha kuboresha huduma Cha Wizara ya Afya pamoja na Timu ya Taasisi ya Saratani Ocean Road ikiwa tayari kabisa kuanza zoezi la tathimini ya kukinga na kuthibiti maambukizi ya… Read more »
Taasisi ya Saratani Ocean Road leo imeendeleza jukumu lake la kuwafanyia uchunguzi wa Saratani baadhi ya watumishi wa serikali ambapo safari hii watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania… Read more »
Mambo makubwa manne kwa siku ya leo toka kwa mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. JuliusMwaiselage.