Comments Off on Wafanyakazi wa benki ya NMB wachangia damu ORCI
Wafanyakazi 200 wa benki ya
NMB wametekeleza kwa vitendo sera ya kushirikiana na kuhudumia Jamii (CSR), kwa
kuchangia damu tarehe 19/10/2019 kwa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road yenye
ujazo wa lita 97. Malengo yalikuwa ni kupata damu yenye ujazo wa lita 50, hivyo
uchangiaji wa wafanyakazi hao wa NMB ulifanikiwa kuvuka lengo.
Wafanyakazi hao wakiongozwa
na meneja wa kanda ya Dar es Salaam ndugu Badru Issa, aliyetoa ujumbe kwa niaba
ya benki ya NMB Kwenda kwa wananchi wote wa Tanzania, kuwa, tuna jukumu la
kuokoa Maisha ya wagonjwa wetu wa Saratani kwa kuchangia damu, kwani tone moja
la damu linachangia katika kuboresha afya ya mgonjwa.
Hospitali ya Saratani ya
Ocean Road ikiongozwa na Mkurugenzi wa tiba, ndugu Mark Mseti Pamoja na meneja
wa maabara ndugu Samweli Mhina, walitoa pongezi za dhati kwa benki ya NMB kwa
moyowa kujitolea na namna walivyoonesha kujali wagonjwa wa Saratani. Pia
walitoa wito kwa wananchi wengine kutoka makampuni na au vikundi binafsi, kuwa
na moyo kama huo wa kujitolea damu hapa ORCI au popote ilipo benki ya damu
salama. Kwani manufaa yanawagusa wagonjwa tofauti tofauti waliopo hospitali
zote Tanzania nzima.
Comments Off on Ocean Road Cancer Institute selected to enter the 2019 SPARC Metastatic Breast Cancer Challenge network:
Ocean Road Cancer
Institute is among of the new 11 organization and projects that were selected
to partake 2019 Metastatic Breast Cancer challenge.
This initiative supported
by Pfizer and UICC who are working in partnership to offer the Seeding Progress
and Resources for the Cancer Community (SPARC) Metastatic Breast Cancer
Challenge, a first-of-its-kind initiative aimed at empowering advocacy groups,
hospital networks, support groups and other organisations worldwide as they
initiate projects supporting metastatic breast cancer patients and helping to
reduce the number of women diagnosed at an advanced stage of breast cancer.
An extract from UICC website
read “Since the launch of this initiative in 2015, more than US $1.5 million
has been granted to cancer organisations in order to support projects
addressing the needs of metastatic breast cancer patients”.
The announcement was made
on the Metastatic Breast Cancer (MBC) Awareness Day, whereby, the Union for
International Cancer Control (UICC) and Pfizer Oncology announced the names of
the new cancer organisations selected to take part in the third round of the
Seeding Progress and Resources for the Cancer Community: Metastatic Breast
Cancer Challenge (SPARC MBC Challenge).
“Through the third round of
the programme, the SPARC awardees network will grow to over 50 organisations in
35 countries. 11 cancer organisations from 10 countries have been selected to
enter this global programme and were selected to receive grant funding
amounting to USD $275,000 provided primarily by Pfizer Oncology.
The awardees will be
supported to launch new projects tackling the needs of MBC patients in their
communities by addressing the gap in information and support, raising awareness
and contributing to strengthening the national health system. The organisations
and projects selected to enter the SPARC MBC Challenge network are”:
Ocean
Road Cancer Institute (Tanzania): Developing a resource centre for
patients with metastatic breast cancer in Tanzania
Asociación
Tour Rosa (Costa Rica): Más vida (more life)
Botswana
Harvard AIDS Institute (Botswana): Improving timely access to care for
women with advanced stage breast cancer
Cancer
Aware – One Kind Act Foundation (Nigeria): Leveraging mobile technology
for metastatic breast cancer patients and caregivers
Cancer
Warriors de Mexico, A.C. (Mexico): Establishment of a surveillance
commission to enforce the rights of Mexican women with MBC
Medicaid
Cancer Foundation (Nigeria): One call away: supporting MBC patients to
access healthcare and psychosocial support
Rumah
Sakit Kanker Dharmais – National Cancer Center (Indonesia): Palliative
care needs assessment of metastatic breast cancer patients in West Jakarta
University
of Cyprus (Cyprus): Guiding metastatic breast cancer women after diagnosis
to meet unmet needs
Venezuelan
Breast Cancer Research and Education Foundation (Venezuela): Reframing advanced breast cancer: from
expectations to facts
Zambian
Cancer Society (Zambia): Nthano Zathu Radio Drama for MBC women
Zanmi
Lasante (Haiti): Assisting metastatic breast cancer patients to navigate
care
Each of the 11 organisations
will receive up to USD 25’000 and benefit from training and mentoring alongside
the opportunity to participate in key international cancer events such as the
ABC Global Alliance Conference and the World Cancer Congress to exchange best
practices with other organisations from around the world.
A statement from UICC website
read, “UICC is honoured to support these organisations to have such a strong
impact in their respective communities. Through previous SPARC rounds, new
resources and services have been developed to provide information, and
financial or psychosocial support to MBC patients when they had little or no
support at all. There have been national awareness campaigns to lower the
stigma associated with the disease, and advocacy efforts that have improved
equity in access to care. Through this new round of the SPARC programme, we
hope that more MBC patients and their caregivers will be supported and more
progress seen at the national level”. Dr
Kirstie Graham, Director, Capacity Building at UICC.
Awardees were selected following a competitive application process
overseen by an external, multidisciplinary advisory committee formed by UICC
and chaired by Dr Fatima Cardoso, Director of the Breast Unit of the
Champalimaud Cancer Center in Lisbon, Portugal. Selection criteria used to
choose the awardees included; project
relevance, potential for impact, feasibility, sustainability, as well as
organisational capacity to implement the proposed project.
The SPARC MBC Challenge is
a grants programme that supports projects worldwide aimed at addressing MBC
patients’ specific needs to and ultimately, reduce the number of women
diagnosed at an advanced stage of breast cancer. Since its launch in 2015 by
UICC in partnership with Pfizer Oncology, it is estimated that the SPARC MBC
Challenge has directly benefitted more than 14’000 MBC patients globally and
has reached more than 140’000 people.
Comments Off on Matembezi ya kuadhimisha Mwezi wa kuhamasisha uelewa juu ya Saratani ya Matiti Duniani
Taasisi ya Saratani ya
Ocean Road kwa kushirikiana na Tanzania Breast Cancer Foundation, iliandaa
Matembezi ya kuadhimisha Mwezi wa kuhamasisha jamii juu ya uelewa kuhusu
Saratani ya Matiti.
Oktoba ya kila mwaka,
ni mwezi maalumu uliochaguliwa juu ya kueneza elimu na kuhamasisha jamii juu ya
umuhimu wa uchunguzi wa mapema na njia bora za kuzuia maradhi ya Saratani ya
Matiti.
Maadhimisho ya mwaka 2019, yalikuwa na kauli mbiu iliyosema ” Sambaza Ujasiri, Tuna nguvu pamoja, tunashinda (Shared courage, strong together, we overcome) ” na wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani waliungana na washiriki wengine mashuhuri katika Matembezi hayo yaliyoanzia The Green, Oysterbay na kumalizikia eneo hilo hilo, huku wakihimiza washiriki na watanzania kiujumla kuwa na mazingatio na tabia ya kufanya uchunguzi wa afya mapema.
Taasisi ya Saratani ya
Ocean Road, inaendelea kuhimiza kwa wananchi wa Tanzania kuwa, uchunguzi wa
awali wa Saratani ya Matiti, shingo ya kizazi na tezi dume hufanyika kila siku
katika kliniki ya uchunguzi wa awali wa Saratani.
Nyote mnakaribishwa
katika uchunguzi wa afya wa mapema na tukumbuke kusambaza ujasiri na
pamoja tuna nguvu na tutashinda.
Wafanyakazi wa jinsia ya kike
katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, wameungana na wanawake wote duniani
katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Siku hii
huadhimishwa kila ifikapo tarehe 08/03/ ya kila mwaka. kampeni za siku ya
wanawake duniani kwa mwaka 2019, imechagua kuangalizia usawa wenye manufaa
ambao unawahamasisha watu duniani kote kuchukua hatua katika kuweka usawa wa
kijinsia. Taasisi ya Saratani ya Ocean
Road inawatakia, kina mama wote siku njema ya amani na furaha, na kuwahimiza
kuwahi mapema katika kufanyiwa uchunguzi wa Saratani.
Washiriki wa siku ya wanawake duniani wakiwa na ujumbe kuwa Uchunguzi wa Awali wa Saratani unatolewa Bure Washiriki wa Sikukuu ya wanawake Duniani wakiwa na bango lililobeba ujumbe unaohimiza “Badili Fikra Kufikia Usawa wa Kijinsia kwa Maendeleo Endelevu”
Staff learning on fire safety at the workplace and residence
ORCI illustrates commitment towards safety during a training of
159 ORCI staff on fire risks and emergency planning for human life and facility
in July, 2019.
ORCI staff member bravely volunteers during a demonstration of firefighting skills Local fire authorities reviewing equipment to an attentive ORCI staff during the training
Comments Off on Permanent secretary of the ministry of health, community development, gender, elderly and children visit at orci
The
Permanent Secretary of the Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly
and Children Dr. Zainabu Chaula (Pictured centre), visited the Ocean Road
Cancer Institute on 12/07/2019 to assess the service offered at Ward one
located on first floor of Block D. During her visitation, the secretary talked
with the management and patients, and offered congratulations to the management
and staff of Ocean Road Cancer Institute for their professionalism and
compliance in efficiency service provision.
Group photo together with Dr Zainabu Chaula, The Permanent Secretary of MoHCDGEC during her visits on 12/07/2019
Dr. Zainabu Chaula (PS – MoHCDGEC)pictured with Mariam Mimbe, a patient at ORCI
Ocean Road Cancer Institute held its sixth and
final meeting of the 4th ORCI’s workers council. The council had
successful 3 years tenure with great strides in improving ORCI services and
infrastructural development.
A group photo of ORCI Workers Council – 2019 Lighthearted moment during the workers Council meeting on 17/07/2019
Ocean Road Cancer Institute participated in the 2019 Sabasaba trade fair which commenced from 28th June 2019 to 13th July 2019. ORCI provided onsite screening for cancers of cervix, breast and prostate. Visitors of the ORCI exhibition were also beneficiaries of education and consultations on various cancer prevention subjects.
A client taking positive steps towards his health through screening for prostate cancer which was offered during the 2019 Sabasaba exhibition in the ORCI pavilion Deputy minister for MoHCDGEC, Hon. Dr. Faustine Ndugulile (MP) (centre), in a group photo with ORCI staff in the ORCI pavilion