Bwana: Majibu ya maabara kwamba amekutwa na saratani ya matiti iliyofikia hatua ya tatu, miaka 11 iliyopita haikuwa rahisi kwa Lucy kuyapokea.Daktari wake alipomjulisha juu ya majibu hayo, fikira zake… Read more »
Kikundi cha kina-mama ‘Ebeneza Women Group’ kimewatembelea, kuwajulia hali na kuwafariji wagonjwa waliolazwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), iliyoko Mkoani hapa. Mapema leo baadhi ya wanachama wa hicho… Read more »
Na Mwandishi Maalum (ORCI) – Dar es SalaamMkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road {ORCI}, Dk. Julius Mwaiselage amekemea tabia ya baadhi ya wanajamii kuwanyanyapaa wagonjwa wa saratani hasa… Read more »
Vitanda viwili vilivyoundwa kwa teknolojia ya kisasa, vikitumia nishati ya umeme, inayosaidia kurahisisha na kuchochea ufanisi wa matibabu kwa wagonjwa waliolazwa wodini, vimekabidhiwa kwa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI).Msaada… Read more »
Ni saratani nadra kutokea duniani, mwanamke mwenye saratani hii {ovarian cancer} mara nyingi huchelewa kugundulika mapema na hata wale wachache wanaogundulika hukutwa ugonjwa umefikia kiwango cha juu, ngumu kutibika.Hali hiyo… Read more »