Waamini wa Kanisa Katoliki Mtakatifu Vincent wa Paulo, Parokia ya Kibamba, wamewashukuru wataalamu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), kwa kuwapeleka huduma ya uchunguzi wa afya bila malipo. Kanisa… Read more »
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegero amepokea msaada wa vifaa tiba vilivyotolewa na Jema Foundation kwa ajili ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu ya saratani katika Taasisi ya Saratani Ocean Road…. Read more »
Mashine hii inauwezo wa kuingiza vipimo vyote vya x-ray hivyo kusaidia kurahisisha huduma kwa wagonjwa na huondoa usumbufu wa kusubili vipimo kwa wagonjwa, pia itaongeza ufanisi na ubora wa vipimo… Read more »
Kikao cha kwanza cha baraza la tano la wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road kilifanyika tarehe 27/08/2020 katika ukumbi wa mikutano wa Kibaha Conference Centre. Kikao hicho kilichohudhuriwa na… Read more »
Siku ya Ijumaa tarehe 14/08/2020 kupitiakwenyekipindi cha elimuendelevu ya matibabu (CME), ndugu Hemed Myanza, mjumbe wa timu ya kuboresha huduma ya Taasisi ya Saratani Ocean Road, aliwasilisharipoti ya utekelezaji wa… Read more »
Glioblastoma ni miongoni mwa aina za Saratani zinazoushambulia ubongo wa mgonjwa. National Glioblastoma awareness day huadhimishwa kila mwaka duniani tarehe 22/07/2020. Katika maadhimisho ya siku hiyo Dr Mark Mseti alitoa… Read more »
Maana ya Saratani Ijue saratani ya matiti Ijue saratani ya Shingo ya kizazi Ijue saratani ya Tezi Dume
SOP FOR WARD ROUNDS STANDARD OPERATING PROCEDURE PALLIATIVE CARE UNIT STANDARD OPERATING PROCEDURES FOR MEDICAL PHYSICS SECTION SOP – (OPD) UTARATIBU WA HUDUMA ZA MAABARA