Dartmouth MUHAS Research Ethics Training Program (DMRET) in collaboration with Ocean Road Cancer Institute is holding a two-day workshop on ethical issues in cancer care and research at Mwalimu Nyerere… Read more »
TAASISI ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) imeanzisha huduma mpya ya kibingwa ya kutibu ugonjwa wa saratani kwa miale ya mionzi kwa njia ya kisasa zaidi ijulikanayo kama Intensity Modulated… Read more »
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road, inapenda kuwaarifu wananchi wa Tanzania kuwa, huduma za kisasa za uchunguzi wa Saratani ya matiti kwa machine ya mammogram imerejea. Uchunguzi kwa kutumia mammography… Read more »
Ujumbe wa wataalamu watano wakiwemo Madaktari na maafisa kutoka Wizara ya Afya ya Burundi upo nchini kwa ziara maalumu ya siku tano kujifunza mambo mbalimbali ya utendaji na uendeshaji unaofanywa… Read more »
SLIPTA is a framework for improving quality of public health laboratories in developing countries to achieve the requirements of the ISO 15189 standard. It is a process that enables laboratories… Read more »
International women’s day is celebrated on 8th of March each year. In 2020 the world celebrated with a theme of equality for all. International Women’s Day 2020 campaign theme is… Read more »
Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb) mnamo tarehe 03/02/2019 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere katika Hospitali ya Saratani ya Ocean… Read more »
Baraza la tano la wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road lilizinduliwa tarehe 28/1/2020 katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu. Nyerere uliopo katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Kabla… Read more »
TANZANIA ATOMIC ENERGY COMMISSION ANNOUNCEMENT OF THE FIRST ANNUAL NUCLEAR SCIENCE, TECHNOLOGY CONFERENCE AND EXHIBITIONSDATES: 19 – 21 FEBRUARY 2020 VENUE: ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTER (AICC) ARUSHA CALL FOR ABSTRACTS AND EXHIBITIONS… Read more »