Ni saratani nadra kutokea duniani, mwanamke mwenye saratani hii {ovarian cancer} mara nyingi huchelewa kugundulika mapema na hata wale wachache wanaogundulika hukutwa ugonjwa umefikia kiwango cha juu, ngumu kutibika.Hali hiyo… Read more »
Wajumbe wa Baraza la tano la wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road walikutana na kufanya mkutano wa pili wa mwaka 2020/2021 katika ukumbi wa mkutano wa Edema mkoani Morogoro… Read more »
Baadhi ya wataalamu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), iliyopo Jijini Dar es Salaam, wapo mkoani Tabora kwa kambi ya siku sita inayojumuisha mafunzo sambamba na uchunguzi wa awali… Read more »
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII. Kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya Jamii chini ya Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo… Read more »
Kambi maalum ya kampeni ya uchunguzi na matibabu dhidi ya saratani ya mlango wa kizazi kwa Mkoa wa Tanga, imeanza rasmi leo Januari 28, 2021 ikitarajiwa kukamilika Januari 30, 2021,… Read more »