+255-2127597    Staff Mail                     En/Sw
  • HOME

  • ABOUT US

    • Historical Background

    • Who We are

    • What we do

    • Board of trustee
    • Executive management Team

    • Organization Structure

  • DIRECTORATES

  • SERVICES

    • Treatment

      • Radiotherapy

      • Chemotherapy

    • Early Detection

    • Teaching

    • Prevention

  • RESEARCH

    • ORCI Research Agenda

    • Research Club

    • Research publications

    • Research Training’s
    • Research Collaborations

    • Grant programs

  • NEWS&EVENTS

  • ORCI- REPOSITORY
  • PUBLICATIONS

    • Media
    • Gallery

    • Tender

  • CONTACT US

  • FAQ
Ocean Road Cancer Institute
Skip to content
  • HOME

  • ABOUT US

    • Historical Background

    • Who We are

    • What we do

    • Board of trustee
    • Executive management Team

    • Organization Structure

  • DIRECTORATES

  • SERVICES

    • Treatment

      • Radiotherapy

      • Chemotherapy

    • Early Detection

    • Teaching

    • Prevention

  • RESEARCH

    • ORCI Research Agenda

    • Research Club

    • Research publications

    • Research Training’s
    • Research Collaborations

    • Grant programs

  • NEWS&EVENTS

  • ORCI- REPOSITORY
  • PUBLICATIONS

    • Media
    • Gallery

    • Tender

  • CONTACT US

  • FAQ

Waziri Gwajima apongeza uboreshwaji wa huduma na upatikanaji wa dawa za saratani akiwa ziarani ORCI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Dkt. Dorothy Gwajima akiwa ziara ya kikazi katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), amepongeza jitihada kubwa za uboreshwaji… Read more »

News&Event   

Maelfu wafika ofisi za Efm & TV E kuchunguzwa saratani ya matiti

Mwamko wa wananchi kujitokeza kufanyiwa uchunguzi wa awali wa saratani ya matiti unazidi kuongezeka kwenye jamii hadi kwa kundi la wanaume. Leo katika Ofisi za Efm na TV E zaidi… Read more »

News&Event   

Wanachuo zaidi ya 200 Veta (ICT – Kipawa) wafikishiwa elimu saratani ya matiti

Wanachuo zaidi ya 200 wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta (ICT- Kipawa wamepewa elimu sahihi kuhusu saratani ya matiti, jinsi ya kujikinga, uchunguzi na matibabu. Elimu hiyo imetolewa leo na… Read more »

News&Event   

Tiba ya mionzi dhidi ya saratani si tanuru la moto

Tiba ya mionzi inayotolewa na wataalamu wa magonjwa ya saratani si tanuru la moto kama ambavyo baadhi ya watu kwenye jamii wamekuwa wakidhani na kusambaza taarifa hizo zisizo sahihi. Daktari… Read more »

News&Event   

Jamii yaaswa kutoshiriki kukatiza matibabu kwa wagonjwa wa saratani.

Jamii imeaswa kuacha kuwakatizia matibabu wagonjwa wa saratani kwa lengo la kuwapeleka kwenye maombi, tiba za asili na waganga wa jadi kwani wanaweza kuwasababishia madhara makubwa zaidi ikiwemo kifo. Hayo… Read more »

News&Event   

Mwezi wa Uelimishaji wa Saratani ya Matiti Duniani

Mwezi wa Uhamasishaji wa Saratani ya Matiti, unaadhimishwa kote ulimwenguni ifikapo kila Oktoba, maadhimisho hayo hulenga kusaidia kuongeza umakini na msaada wa elimu kwa wanawake, ugunduzi wa mapema na pia… Read more »

News&Event   

Parokia ya Kibamba waishukuru ORCI kuwapelekea huduma uchunguzi wa Saratani

Waamini wa Kanisa Katoliki Mtakatifu Vincent wa Paulo, Parokia ya Kibamba, wamewashukuru wataalamu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI), kwa kuwapeleka huduma ya uchunguzi wa afya bila malipo. Kanisa… Read more »

News&Event   

Dc. Jokate ahimiza jamii kutembelea, kuwafariji wagonjwa

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegero amepokea msaada wa vifaa tiba vilivyotolewa na Jema Foundation kwa ajili ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu ya saratani katika Taasisi ya Saratani Ocean Road…. Read more »

News&Event   

Taarifa kwa umma, Taarifa kuhusu upatikanaji wa dawa za tiba saratani

News&Event   

Makabidhiano ya mashine mpya ya X-ray(digital x-ray machine) chini ya mpango wa MES(Managed Equipment System)

Mashine hii inauwezo wa kuingiza vipimo vyote vya x-ray hivyo kusaidia kurahisisha huduma kwa wagonjwa na huondoa usumbufu wa kusubili vipimo kwa wagonjwa, pia itaongeza ufanisi na ubora wa vipimo… Read more »

News&Event   

Posts pagination

« Previous 1 … 7 8 9 10 11 12 Next »

WORKING HOURS

StartEnd
Monday - Friday7:00 AM8:00 PM
Week Ends8:00 AM6:00 PM

News & Events

  • Rais wa umoja wa visiwa vya Comoro Bw. Azali Assoumani ametembelea kambi maalum ya madaktari bingwa iliyofika katika mji wa Anjouan na kuzungumza na madaktari

  • Timu ya madaktari bingwa na ubingwa bobezi waingia nchini Comoro kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

  • Uongozi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road umesema kuwa umejipanga kuwa kitovu cha Tiba utalii Africa</h4>


DONATION


POSTERS’



MAJARIDA


READ MORE

Ocean Road Cancer Institute.
Dar Es Salaam, Tanzania.
Chimara Street,
P. O .Box 3592.
Dar Es Salaam, Tanzania.
Tel: +255-2127597
Fax: 255-22-2118704
Email: info@orci.or.tz

QUICK LINKS

Ministry Of Health

Muhimbili National Hospital

Bugando Medical Centre

KilimanjaroChristianMedicalCentre

Mbeya Zonal Referral Hospita

Muhimbili Orthopaedic Institute

JK Cardiac Institute

Telemedicine Pan African e Network

Maombi ya kuchoma chanjo ya Uviko-19

Salary Slip Portal

Travel Permit E-Application

e-Mrejesho

Client Survey Form

OUR COLLABORATORS

  • IAEA
  • ||
  • WHO
  • ||
  • UICC
  • ||
  • IARC
  • ||
  • INCTR

  • US NCI
  • AHPC
  • ||
  • ICAP Colombia University
  • ||
  • University of Copenhagen
  • ||
  • Tanzania Atomic Energy Commission

Please follow & like us :)


Copyright ©2025 , ORCI. All right reserved.

ytubemp3donustur.com pusulabet casino betoovis.com hiltonbet mavibet.com.tr milosbet giriş istanbul masöz kalebet trwin betadonis beinwon.info vbettr 1venusbet.com betitbet.com.tr olipsbet giriş betandyou