Mganga mkuu wa manispaa ya mpanda Dr. Paul Swakala ameishukuru Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa kuweza kufanya maamuzi ya kufika na kuwahudumia kwa vipimo wananchi na wakaazi wa manispaa… Read more »
Waziri wa Afya Mh. Ummy mwalimu ameipongeza Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa kuamua kuhamasisha watu kupata chanjo ya UVIKO-19 Akizungumza ndani ya viwanja vya maonesho ya kimataifa ya kibiashara… Read more »
Taasisi ya Saratani Ocean Road imeendelea na utoaji wa huduma za uchunguzi wa awali kwa Saratani ya Mlango wa Kizazi, Tezi Dume, Saratani ya Matiti na ile ya ngozi kwa… Read more »
Mapema leo Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu amezindua Rasmi Bodi mpya ya udhamini katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo katika Taasisi ya Saratani Ocean Road. Akizungumza katika uzinduzi huo… Read more »
Mganga mkuu wa Serikari Dr Aifello Sichwale mapema mwishoni mwa wiki hii ameongoza mamia ya wadau na wahanga mbalimbali katika matembezi ya hisani ya kuhimiza watanzania na watu wote kupima… Read more »
Wanaume tisa sawa na asilimia 8 ya wanaume 103 waliojitokeza kwenye kampeni maalum ya uchunguzi wa awali kwa magonjwa ya saratani, wamekutwa na saratani ya tezidume, Mkoani Njombe. Kampeni hiyo… Read more »
Wanaume tisa wakutwa na viashiria vya Saratani ya tezi dume ambao ni sawa na Asilimia 17 ya waliojitokeza kwenye kampeni ya uchunguzi wa saratani ya tezi dume mkoani Njombe.Hayo yamebainishwa… Read more »
Bwana: Majibu ya maabara kwamba amekutwa na saratani ya matiti iliyofikia hatua ya tatu, miaka 11 iliyopita haikuwa rahisi kwa Lucy kuyapokea.Daktari wake alipomjulisha juu ya majibu hayo, fikira zake… Read more »