Naibu katibu mkuu wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amesema kuwa Taasisi ya Saratani Ocean Road inatakiwa ijikite katika Tafiti za Saratani pamoja na kutoa Elimu ya kutosha kwa jamii… Read more »
Bodi ya wadhamini katika Taasisi ya Saratani Ocean Road leo majira ya asubuhi wametembelea Miradi kadhaa inayotekelezwa kupitia fedha za IMF katika Taasisi hiyo. Akizungumza wakati anatoa taarifa fupi kuhusu… Read more »
Kampuni ya fasthub Solution inayojishughulisha na masuala mbalimbali ya mawasiliano ikiwamo utumaji wa msg za jumla kwa watu wengi (bulk msg) mapema leo wamefika katika Taasisi ya Saratani Ocean Road… Read more »
Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. Julius Mwaiselage, asubuhi ya leo amewafikia wateja zaidi ya 340 katika maeneo mbalimbali ya kusubiria wagonjwa katika Taasisi hiyo alipokuwa akizungumza… Read more »
Idadi ya watu 54 wamekutwa na viashiria vya Saratani mbalimbali katika kampeni ya uchunguzi wa awali wa Saratani jijini Arusha. Akizungumza katika kampeni hiyo, Meneja kitengo cha uchunguzi wa Saratani,… Read more »
Mh. Ummy Mwalimu ameahidi kushighulikia changamoto zozote zitakazojitokeza za Saratani katika nchi ya Tanzania ikiwamo na uwekaji wa mikaka madhubuti ili kuweza kuudhi its ugonjwa huo. Akizungumza katika hafla ya… Read more »
Uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi jumla ya wanawake 221Waliokutwa na mabadiliko ya awali na kupewa tiba. 16Waliokutwa na viashiria vya saratani na kuchukuliwa vipimo kwa uchunguzi zaidi katika… Read more »
Mapema Leo Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa kushirikiana na Chama cha madaktari Tanzania, wamefanya uchunguzi mkubwa wa Saratani mbali mbali katika viwanja vya Azimio mjini Arusha ambapo imeanza kufanyika… Read more »