Mtaalamu wa Maabara wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Bw. Peter Mwevila amesema swala la mawasiliano baina ya watoa huduma za afya ni muhimu katika kupata vipimo sahihi vya mgonjwa…. Read more »
SERIKALI YAIMARISHA HUDUMA ZA MATIBABU YA NYUKLIA – DKT UBUGUYU. Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania inayoongozwa na Mhe Dk.Samia Suluhu Hassan imeimarisha huduma za matibabu yuklia yakihusisha uchunguzi na… Read more »
Mkurugenzi wa huduma za Tiba kutoka wizara ya Afya Prof. Paschal Rugajo, (Picha ya kwanza kushoto) mapema leo ametembelea katika kituo kipya kilichosimikwa mashine za Cyclotron pamoja na PET-CT SCAN… Read more »
Usimikaji wa mashine ya PET/CT Scan umefikia hatua nzuri ambapo vifaa vyote vya msingi vimekamilika na kubakia kuunganisha mfumo wa umeme na vifaa vichache ili iweze kufanya kazi kama inavyotarajiwa…. Read more »
Mkurugenzi wa utawala na Rasilimali watu wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Bi. Beatrice Erasto kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt.Julius Mwaiselage amewapa vyeti watumishi wapya Leo… Read more »
Taasisi ya Saratani Ocean Road imepeleka madaktari wake bingwa India huku lengo la safari hii ni kuwajengea uwezo madaktari na kuifanya Tanzania kuwa kituo cha Tiba utalii kwa nchi za… Read more »
Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt. Julius Mwaiselage amesema maazimio karibu yote yaliyowekwa katika kikao kilichopita Cha Baraza yamekamilika na kubaki maazimio machache ambayo… Read more »
Wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya, jumuiya ya wazazi wa chama Cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala ikiongozwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation Mhe. Joseph. W. Butiku… Read more »
ORCI YATOA SOMO KUHUSU SARATANI KWA WAHUDUMU WA AFYA LINDI. Na Mwandishi wetu Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo imetoa somo kuhusu Saratani kwa baadhi ya wahudumu wa Afya kutoka… Read more »
Dkt Mwaiselage akabidhi Makombe kwa bodi ya udhamini. Na Mwandishi wetu. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt Julius Mwaiselage amekabidhi makombe matatu yaliyopatikana katika mashindano ya MEI… Read more »