Naibu waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akimsikiliza mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt. Julius Mwaiselage akizungumza kuhusu huduma zinazotolewa hapa Mnazi mmoja katika banda la Taasisi… Read more »
Taasisi ya Saratani Ocean Road mapema leo imepokea tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake katika kuona namna gani imeshiriki kwenye kutoa elimu, kufanya uchunguzi pamoja na matibabu ya magonjwa… Read more »
“Uchunguzi wa mapema wa Saratani ya mlango wa kizazi pamoja na chanjo ya papilloma virus itasaidia katika mapambano dhidi ya Saratani ya mlango wa kizazi”. Hayo yamesemwa na mtaalamu kutoka… Read more »
Leo ikiwa ni kilele Cha mkutano wa kimataifa wa kisayansi wa magonjwa yasiyoambukiza katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam. Katika mkutano huo madaktari kutoka Taasisi ya… Read more »
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani Ocean Road Dkt.Julius Mwaiselage leo amepokea msaada wa millioni arobaini kutoka Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania (GBT). Bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania… Read more »
Afisa miradi wa shirika la kimataifa la nguvu za Atomic Bi.Aza Kashlan amesema kuwa pamoja na msaada wa mashine walizozitoa kipindi cha nyuma, ila bado wataendelea na kutoa misaada mbalimbali… Read more »
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imeanza kutoa huduma ya mionzi tiba ya ndani kwa njia ya kisasa (3D INTRACAVITARY BRACHYTHERAPY) kwa wagonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi. Hayo yamesemwa… Read more »
Naibu waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel leo ametembelea Taasisi ya Saratani Ocean Road na kuzungumza na baadhi ya watumishi, huku akiupongeza uongozi wa Taasisi hiyo kwa kusimamia vizuri pesa… Read more »
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wananchi kufanya uchunguzi wa awali wa kupima Saratani ya Matiti ili kujua hali zao na kupata matibabu mapema kwa wenye changamoto hiyo Waziri… Read more »