Kitengo Cha kuboresha huduma Cha Wizara ya Afya pamoja na Timu ya Taasisi ya Saratani Ocean Road ikiwa tayari kabisa kuanza zoezi la tathimini ya kukinga na kuthibiti maambukizi ya… Read more »
Taasisi ya Saratani Ocean Road leo imeendeleza jukumu lake la kuwafanyia uchunguzi wa Saratani baadhi ya watumishi wa serikali ambapo safari hii watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania… Read more »
Mambo makubwa manne kwa siku ya leo toka kwa mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. JuliusMwaiselage.
Chama cha wanafunzi cha wafamasia Tanzania (TAPSA) chapter ya MUHAS, jana mapema wamezindua kampeni ya uelimishaji kuhusu kansa ya mlango wa kizazi. Katika warsha hiyo ambayo wameuzulia wanafunzi mbalimbali kutoka… Read more »
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametembelea wagonjwa wa Taasisi ya Saratani Ocean Road ili kuwajulia hali na kutoa misaada ya sikukuu pamoja na familia yake. Akizungumza mapema… Read more »
Katibu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amesema kuwa Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Saratani wamejipanga kushirikiana na sekta zingine hasa Wizara ya Elimu na Fedha nchini ili kuwekeza… Read more »
On 12th December 2022, a health meeting was convened to discuss possible collaboration between Tanzania and health stakeholders from the United States on the establishment of Centre of Excellence on… Read more »
Naibu katibu mkuu wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amesema kuwa Taasisi ya Saratani Ocean Road inatakiwa ijikite katika Tafiti za Saratani pamoja na kutoa Elimu ya kutosha kwa jamii… Read more »
Bodi ya wadhamini katika Taasisi ya Saratani Ocean Road leo majira ya asubuhi wametembelea Miradi kadhaa inayotekelezwa kupitia fedha za IMF katika Taasisi hiyo. Akizungumza wakati anatoa taarifa fupi kuhusu… Read more »